Uislamu nchini Ivory Coast

Msikiti wa taifa mjini Marcory.
Uislamu kwa nchi

Waislamu wamo kwenye asilimia 38.6 ya idadi yote ya wakazi wa nchini Ivory Coast.[1] In Ivory Coast, Waslamu wanasali, wanafunga, na kutoa sadaka kama inavyohitajika na mafunzo ya Kiislamu, na walio wengi huenda hija na imefanywa kama kiada. Waislamu walio wengi wa Kiivoiri ni dhehebu la Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Maliki.[2][3][4]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 2015-07-05.
  2. Noble Timothy Myers. The Huevolution of Sacred Muur Science Past and Present. uk. 72. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Dissertation Abstracts International: The humanities and social sciences. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Richard Brent Turner. Islam in the African-American Experience. uk. 130. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)