Tu Youyou

Tu Youyou

Tu Youyou (amezaliwa 30 Desemba, 1930) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uchina. Anajulikana hasa kwa kugundua artemisinin iliyo ni dawa dhidi ya malaria. Mwaka wa 2015, pamoja na William Campbell na Satoshi Omura, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tu Youyou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.