Hifadhi ya Samburu

Mlango wa Hifadhi ya Kitaifa ya Samburu, Kenya.

Hifadhi ya Samburu inapatikana katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.

Ndiyo "nchi huru" ambapo Joy Adamson alikasirishwa mno na simba. Hii imeifanya mbuga hii kuwa maarufu sana na kuvuta watalii wengi kutaka kuizuru.

Watalii pia huvutiwa mno na utamaduni wa Wasamburu pamoja na mavazi na mienendo yao.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]