Safura Safura Funza (L3) wa safura Uainishaji wa kisayansi Himaya: Animalia Nusuhimaya: Eumetazoa Faila: Nematoda Ngeli: Secernentea Oda: Strongylida Familia: Ancylostomatidae Jenasi: Necator Spishi: N. americanus Safura ni aina za minyoo midogo ambayo inasababisha anemia.