Orodha ya mito ya Eritrea
Mito ya Eritrea ni mingi, si chini ya 240; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Shamu)
- kadiri ya alfabeti.
Kadiri ya beseni[hariri | hariri chanzo]
Bahari ya Kati[hariri | hariri chanzo]
- Nile (Misri, Sudan)
- Mto Atbarah (Sudan)
Bahari ya Shamu[hariri | hariri chanzo]
Kwa utaratibu wa alfabeti[hariri | hariri chanzo]
Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
- Mto Aligide
- Mto Anseba
- Mto Barka
- Mto Barosio
- Mto Comaile
- Mto Damas
- Mto Fah
- Mto Gonfale
- Mto Guwa
- Mto Haddas
- Mto Koka
- Mto Langeb
- Mto Mareb
- Mto Mogoraib
- Mto Obel
- Mto Saato
- Mto Tekeze
- Mto Wadi Laba
- Mto Wokiro
- Mto Zara