Orodha ya lugha za Armenia Orodha hii inaorodhesha lugha za Armenia: Kiaramu Mpya ya Kiashuru Kiarmenia Kiazeri ya Kaskazini Kierzya Kikurdi ya Kaskazini Kilomavren Tazama pia[hariri | hariri chanzo] Armenia Lango:Lugha Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo] http://www.ethnologue.com/country/AM