Mrija Mrija katika kinywaji. Mrija ni bomba jembamba linalopatikana mwilini au linalotengenezwa na binadamu. Kazi yake ni kupitisha au kufyonza hewa au kiowevu. Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.omh