Mlima Sungwi

Mlima Sungwi ni kati ya milima ya Usambara iliyoko katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania.

Una urefu wa mita 2,130 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]