Orodha ya Marais wa Kenya
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Ukarasa huu una orodha ya marais wa Kenya:
Orodha ya wakuu wa serikali ya Kenya[hariri | hariri chanzo]
Jamhuri ya Kenya (1964 - hadi leo)[hariri | hariri chanzo]
( #F5051c)
( #2BAE45)
# | Picha | Jina | Muda | Mwaka wa Uchaguzi/Asilimia ya wapiga kura | |
---|---|---|---|---|---|
1 | Jomo Kenyatta (1893 – 1978) | 12 Desemba 1964 | 6 Desemba 1969 | 1964 — | |
6 Desemba 1969 | 14 Octoba 1974 | 1969 — Hakupingwa | |||
14 Octoba 1974 | 22 Agosti 1978 (Alifariki akiwa Rais) | 1974 — Hakupingwa | |||
Katika muda huu, Makamu wa Rais Daniel Arap Moi alikuwa anasimamia Cheo/Kiti cha Rais. | |||||
2 | Daniel Arap Moi (1924 – 2020) | 8 Novemba 1979 | 26 Septemba 1983 | 1979 — Hakupingwa [1] | |
26 Septemba 1983 | 21 Machi 1988 | 1983 — Hakupingwa [2] | |||
21 Machi 1988 | 29 Desemba 1992 | 1988 — Hakupingwa [3] | |||
Chama zote ziliwezeshwa kupingana katika Uchaguzi wa 1992 | |||||
(2) | Daniel Arap Moi (1924 – 2020) | 29 Desemba 1992 | 29 Desemba 1997 | 1992 — 36.4% | |
29 Desemba 1997 | 29 Desemba 2002 | 1997 — 40.6% | |||
3 | Mwai Kibaki (1931– 2022) | 29 Desemba 2002 | 29 Desemba 2007 | 2002 — 61.3% | |
30 Desemba 2007 | 3 Aprili 2013 | 2007 — Haijulikani % | |||
4 | Uhuru Kenyatta (1961– ) | 4 Aprili 2013 | 2017 | 2013 — 50.07% 6,158,610 | |
25 Novemba 2017 | 2022 | Uchaguzi wa Urais uliorudiwa Oktoba 2017 — 98.26 % | |||