Kahawia Kahawia (pia: hudhurungi kutoka neno la Kiarabu) ni rangi mojawapo. Inafanana na maji ya kunde, udongo na kahawa: ndiyo asili ya jina lake. Vitu vyenye rangi ya kahawia[hariri | hariri chanzo] Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari.omh