1951
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1947 | 1948 | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | 1954 | 1955 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1951 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 24 Desemba - Nchi ya Libya inapata uhuru kutoka Italia.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 3 Februari - Blaise Compaoré, Rais wa Burkina Faso
- 27 Aprili - Mario Das Neves, mwanasiasa wa Argentina
- 18 Mei - Bernard Feringa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 23 Mei - Philippe Van Parijs, mwanafalsafa kutoka Ubelgiji
- 30 Mei - Mathias Chikawe, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Sheria (2005-2010)
- 10 Juni - Isaac Amani Massawe, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 13 Juni - Peter Balakian, mshairi kutoka Marekani
- 20 Juni - Paul Muldoon, mshairi kutoka Marekani
- 30 Juni - Stanley Clarke, mwanamuziki kutoka Marekani
- 23 Julai - Edie McClurg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Julai - Santiago Calatrava, msanifu majengo na mhandisi kutoka Hispania
- 16 Agosti - Umaru Musa Yar'Adua, Rais wa Nigeria (2007-2010)
- 24 Agosti - Oscar Hijuelos, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Agosti - Khamis Suedi Kagasheki, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 14 Septemba - Frederick Duncan Michael Haldane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2016
- 30 Septemba - Barry Marshall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2005
- 19 Oktoba - Philly Lutaaya, mwanamuziki kutoka Uganda
- 25 Oktoba - Ingeborg Schwenzer, mwanasheria kutoka Ujerumani
- 1 Desemba - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Desemba - Philip Sang'ka Marmo, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 10 Januari - Sinclair Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930
- 19 Februari - Andre Gide, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947
- 23 Aprili - Charles Dawes, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925
- 29 Aprili - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 6 Oktoba - Otto Meyerhof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922